Seventh-day Adventist® Church

Mabatini SDA Church

Menu
Karibuni Katika Kanisa La Waadventista wa Sabato Mabatini


kanisa la Waadventista wa sabato Mabatini kati linapatikana jijini Mwanza barabara ya Nyerere karibu na Mlango Mmoja baada ya makaburi ya waislam njia iendayo Orange Tree.